#HABARI: Katibu Mwenezi wa CCM Ndugu Kenani Kihongosi amehitimisha ziara katika Wilaya ya Urambo mkoani Tabora kwa kishindo.
Kihongosi amewataka wananchi kulinda Amani, Umoja na Mshikamano huku akiwashukia wale wanaosema kuwa CCM haijafanya kitu kwa kubainisha mambo makubwa yaliyofanywa na Chama hicho katika sekta mbalimbali ikiwemo Sekta ya Maji, Umeme, Elimu na Miundombinu.
Ziara ya Kihongosi inaendelea leo Mkoa wa Kigoma.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania