#HABARI: Mbunge wa Jimbo la Welezo Mhe. Asma Ali Hassan Mwinyi @asmaalimwinyi kupitia taasisi yake ya Asma Mwinyi Foundation (AMF), imeadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na historia ya kujitoa kusaidia mabinti na makundi yenye mahitaji maalum Zanzibar na Tanzania kwa ujumla.

‎Powered by #MCHEZOSUPA

‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *