#HABARI: Waziri Wa Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda, amesema Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, imeendelea kuwa kichocheo muhimu cha kukuza ubunifu, miongoni mwa waandishi wa Vitabu, kuongeza uzalishaji Wa vitabu vyenye ubora wa hali ya juu na kuimarisha Sekta ya uchapishaji nchini.
Prof. Mkenda amesema hayo jijini Dar es Salaam, mara baada ya uzinduzi wa vitabu vya Tuzo hiyo, iliyoandaliwa na Taasisi ya Elimu Tanzania (TET).
Mkurugenzi Mkuu Wa Taasisi ya Elimu Tanzania Dkt. Anneth Komba, amesema Serikali imetenga zaidi ya shilingi bilioni moja kwa ajili ya kuendesha Tuzo hiyo na kuchapisha Vitabu bunifu vinavyotokana na washindi wa Tuzo, ambapo kati ya fedha hizo, shilingi Milioni 400 zimetumika kuchapisha nakala 100,000 za vitabu mbalimbali.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
-
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.