#HABARI:Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Dkt. Jafar Seif, ametoa wito kwa wananchi kuendelea kuwathamini wawekezaji wazawa na kuwashirikisha kwenye ujenzi wa miradi ya maendeleo pale wanapoelemewa katika utekelezaji wa miradi hiyo.

Naibu Waziri Dkt. Seif ametoa wito huo, baada ya kufanya ziara katika Mgodi wa mwekezaji mzawa ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Butobela mkoani Geita Mhe. Mapung’o Paschael ambaye ameahidi kugharamia bima ya afya kwa zaidi ya kaya 100 zenye uwezo duni’ kama hatua ya Kumuunga Mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika utekelezaji wa Mpango wa Bima ya Afya kwa wote.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *