#HABARI:Wawakilishi wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mkuu wa Mkoa wa Tanga pamoja na viongozi wa Mabaraza ya Muziki nchini, wamewaongoza Watanzania’ katika zoezi la kuuaga mwili wa Mwanamuziki nguli wa dansi na Mtunzi wa wimbo wa ‘Tanzania yetu” Mzee Steven Hiza.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *