Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu (TISEZA) kwa kushirikiana na Youth Dream Foundation (SYDF) imeanzisha programu inayolenga kutatua changamoto ya upatikanaji wa ajira kwa vijana, hasa wanapomaliza vyuo.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais, Uwekezaji na Mipango, Dkt. Fred Msemwa, amesema hayo wakati wa ufunguzi wa klabu ya uwekezaji iliyoanzishwa na TISEZA kwa ajili ya kusaidia wanafunzi kupata elimu ya uwekezaji, kuweka akiba, na kutunza fedha zao kwa njia sahihi.

Upendo Michael
Mhariri | @rajjmsangi

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *