Amekutana naye leo Februari 19, 2026 alipokuwa akizungumza na wananchi katika mkutano uliofanyika katika kata ya Marangu-Kitowo, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro baada ya kupokea taarifa za ujenzi wa Mradi wa Maji kutoka chanzo cha ziwa Chala, Ujenzi wa mradi wa barabara Holili(Rotima)-Tarakea(Nayemi), pamoja kuweka jiwe la msingi la Shule ya Sekondari Stephen Moshi Technical.
#StarTvUpdate
(Feed generated with FetchRSS)