#HABARI: Kaimu Balozi wa Marekani, Andrew Lentz amesema waliitaja Mtwara kama sehemu ya hatari katika tahadhari yao waliyoitoa mwaka jana kwa wasafiri wanaotoka Marekani lakini hata hivyo amefuatilia na kufurahishwa na hatua ambazo Serikali inazichukua kuhakikisha eneo hilo ambalo ni mpaka wa Tanzania na Msumbiji linakuwa salama.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *