#HABARI: Msafara wa Mwenyekiti wa Chama Cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Tundu Lissu ulivyowasili Mahakamani leo na Lissu anayetuhumiwa kwa Uhaini akaingizwa katika chumba na.1 cha Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Ndogo ya Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo kuendelea.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *