#HABARI: Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewafuta kazi Waziri wa Afya lijah Muchima na Elias Mubanga, anayeshughulikia maendeleo ya biashara ndogo na za kati.
Mabadiliko hayo, yanatokana na kifungu cha 116(3) (a) cha Katiba ya Zambia.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania