Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Felschesmi Mramba amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais-Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Tausi M. Kida katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Mipango jijini Dodoma.

Mazungumzo hayo yamegusia mipango mbalimbali ya utekelezaji wa maono ya Dira 2050 hususani utoshelevu wa nishati ya umeme.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *