
WAZIRI Mkuu Dk Mwigulu Nchemba leo anaendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro kwa kutembelea Wilaya ya Rombo.
Akiwa Rombo Dk Nchemba atakagua ujenzi wa barabarani ya chini”lower Road”, mradi wa maji kutoka Ziwa Chala, kuweka jiwe la msingi Shule ya Sekondari Mwalimu Stephen Moshi Technical, kukagua kituo cha Forodha Tarakea na kukagua na kuzindua Jengo la Halmashauri.
SOMA: Mwigulu aonya watendaji wanaokwamisha miradi ya maendeleo
Waziri Mkuu ameanza ziara ya kikazi mkoani Kilimanjaro kwa kutembelea Wilaya ya Same Februari 18.