taalamu wa Historia, Dkt. Hubert Ndomba, amesema jamii inapaswa kupokea mabadiliko yanayoletwa na wakati, lakini ichague kwa makini yale yanayoendana na tamaduni na malengo yake ya maendeleo.
Ameeleza kuwa maendeleo ya teknolojia yamerahisisha maisha katika nyanja za usafiri, mawasiliano na uchumi, hivyo ni muhimu katika kuendana na kasi ya dunia ya sasa. Hata hivyo, ameonya kuwa si kila mabadiliko yanafaa kupewa nafasi ikiwa yanahatarisha utamaduni na muundo wa jamii.
Kwa mujibu wake, maendeleo endelevu yanahitaji uwiano kati ya ubunifu wa kisasa na misingi ya kitamaduni iliyojengwa kwa muda mrefu.
✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)