#HABARI: Waziri wa Usalama nchini Kenya Kipchumba Murkomen ameibua wasiwasi kuhusu mabomu ya machozi kupatikana mikononi mwa raia, akionya kuwa hali hiyo inaakisi kusambaa kinyume cha sheria kwa bunduki na risasi miongoni mwa umma. Taarifa hiyo inajiri wakati upinzani ukiwatuhumu polisi kwa kuvuruga mikutano yao ya kisiasa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *