Wakazi mbalimbali wa Pugu wameelezea namna walivyoguswa na msiba wa Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, Askofu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, kilichotokea usiku wa tarehe 19 Februari 2026 katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKIC), jijini Dar es Salaam.
(Feed generated with FetchRSS)