#HABARI: Jamii imeendelea kushauriwa na wataalamu pamoja na taasisi mbalimbali kutoficha watoto wanaozaliwa na matatizo ya utindio wa ubongo kama vile cerebral palsy (CP), ili waweze kupata haki na huduma stahiki kama watoto wengine wote.
Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Tasisi ya @dorcashomecaretz Dorcas Initiaitive Rehema Simfukwe @rehema_simfukwe, amesema zaidi ya milioni 300 zinahitajika kwa ajili ya kukamilisha ununuzi wa nyumba na kiwanja kwa ajili ya kulea watoto wenye utindio wa Ubongo, katika eneo la Madale jijini Dar es Salaam, ikiwa ni katika kusaidia kulea Watoto hao kwa mazoezi tiba pamoja na kuwahifadhi ili wapate huduma kama watoto wengine wa kawaida.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.
(Feed generated with FetchRSS)