Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe David Kihenzile amesema Mkoa wa Kigoma na Wakazi wake wapendelewa sana na Serikali na kwamba kwa uzoefu wake wa kuzunguka maeneo mbalimbali Nchini Tanzania, hajaona sehemu iliyopendelewa kama Kigoma ikiwemo eneo la uboreshaji wa miradi mbalimbali kwenye sekta ya uchukuzi.

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *