Said ashindwa kueleza alikuwa na nani 😆 Hafsa amemwambia ukweli Mwana kuhusu mumewe na anamuhakikishia Zuh yeye ndiye atabaki kwenye ndoa. Mike amvunjia heshima Wendy wakati ambao Tony anaingia ofisini na maua mkononi hehehe. Usikose kutazama #NomaSeries leo saa 1:00 usiku ndani ya #SinemaZetuHD
(Feed generated with FetchRSS)