Serikali imeshauriwa kufuta faini kwa wafanyabiashara watakaobainika kufungasha bidhaa kwa mfumo wa ‘lumbesa’, hatua inayolenga kuondoa mianya ya rushwa na kuhakikisha wafanyabiashara wanafuata taratibu rasmi.

Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Soko la Ilala, Ally Mbiku, wakati wa utoaji wa elimu kuhusu vipimo vya bidhaa, ikiwemo lumbesa, akisisitiza kuwa hatua hiyo itasaidia kuhamasisha uwazi na taratibu rasmi za kufungasha bidhaa.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *