Wakazi wa Mtaa wa Wazo Kata ya Wazo wilaya ya Kinondoni Jijini Dar Es Salaam wamelalamikia uvamivi wa barabara ya Mtaa wa Wazo Maarufu kama barabara ya Magereji ambayo inatumiwa na mafundi wa Magari, Wafanyabiashara na Wawekezaji ambapo kwa sasa wameshangaa kuona ya yakipangwa matofali na kupunguzwa kwa barabara hiyo ambayo ni muhimu kwa kazi zao.
(Feed generated with FetchRSS)