Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema changamoto zinazowakabili vijana zinapaswa kutatuliwa haraka ili kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika nyanja za elimu, biashara na uchumi.
Amesema hayo wakati wa uzinduzi wa Jukwaa la Vijana mkoani Shinyanga, linalolenga kuongeza ujuzi wa vijana, kuhamasisha kujitegemea na kuwawezesha kuchangia maendeleo ya taifa.
#AzamTVUpdates
John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)