#HABARI: Ujenzi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Kampasi ya Songea mkoani Ruvuma, utakaogharimu zaidi shilingi Bilioni 18 umefikia asilimia 44, ambapo mkuu wa chuo hicho, Profesa Eliamani Sedoyeka amesema hadi ifikapo Juni 6, Mwaka huu mradi huo utakabidhiwa rasmi.

Profesa Eliamani Sedoyeka pamoja na kueleza ujenzi wa chuo hicho kujengwa kupitia mradi wa elimu ya juu kwa mageuzi ya Kiuchumi, unaolenga kuzalisha wahitimu wenye ujuzi unaokidhi soko la ajira la ndani na Kimataifa lakini pia anaeleza hatua iliyofikiwa.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *