Katika kuhakikisha tafiti na bunifu zinachangia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya Taifa, Serikali imeanzisha mfumo maalum wa katalogi ya tafiti na bunifu (MAKISATU) utakaoratibu na kurahisisha upatikanaji wa tafiti hozo nchini.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Hussein Omary amesema mfumo huo ni sehemu ya maandalizi ya utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 inayolenga kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati wa juu ifikapo mwaka 2050.

#AzamTVUpdates
✍Upendo Michael
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *