Mwenyekiti mpya wa wa Chama cha Wananchi (CUF), Yusuf Mirambo, amesema kipaumbele chake ni kuimarisha mshikamano kuanzia ngazi ya chini ya wanachama, akisisitiza kuwa msingi imara ndio nguzo ya kukirejesha chama katika hadhi yake ya awali.

Mirambo amebainisha kuwa mkakati huo unalenga kujenga umoja, kuhuisha uhai wa chama na kuimarisha misingi ya uongozi bora.

✍Ibrahimu Kilumbo
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *