Wafanyabiashara wa soko jipya la Kariakoo wamepatiwa elimu ya namna bora ya kutumia miundombinu ya soko hilo pamoja na kujikinga na majanga ya moto… mafunzo yaliyotolewa na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kwa kushirikiana na uongozi wa soko hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *