Wazee wasiojiweza wanaoishi katika Kambi ya Kijiji cha Amani, Manispaa ya Tabora, wameiomba Serikali kuwapa kipaumbele katika utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaoendelea nchini, wakisema hali zao za maisha haziwaruhusu kumudu gharama za matibabu.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti kambini hapo, wazee hao walisema umri wao mkubwa na changamoto za kiuchumi wanazokumbana nazo zinawafanya washindwe kulipia huduma za afya kila wanapougua.
Juma Kapipi
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)