Kutana na Bundala Sabasi, mwalimu wa kujitolea anayefundisha hasa wanafunzi wenye mahitaji maalumu. Kwa sasa, mwalimu huyo ni kivutio kwa makundi mbalimbali, ikiwemo wazazi na wanafunzi, kutokana na mtindo wa nyimbo na michezo anayotumia kufundisha.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *