Wakati wakulima wengi nchini wakikabiliwa na changamoto ya mvua zisizotabirika kutokana na mabadiliko ya tabianchi, matumaini mapya yanaanza kuonekana katika Kijiji cha Kibebe, Wilaya ya Iringa, ambapo wananchi wa kijiji hicho wameanza kutumia mbinu za kilimo-hifadhi ili kuongeza uzalishaji na kulinda mazingira.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)