DAR ES SAALAM: Hatimaye Basketball Africa League (BAL) imetangaza rasmi makundi mawili yatakayounda hatua ya awali ya msimu wa mwaka 2026, pamoja na ratiba ya michezo itakayofanyika katika nchi mbalimbali barani Afrika.

Timu ya mpira wa kikapu kutokea Tanzania imekuwa miongoni miongoni mwao.

Msimu wa 2026 utaanza rasmi kwa Kalahari Conference itakayochezwa mjini Pretoria, South Africa kuanzia Machi 27 hadi Aprili 5, 2026.

Dar City kutoka Tanzania ipo katika kundi la Timu za Afrika Kusini ambalo michezo itafanyika Pretoria lakini pia ndio timu pekee inayoiwakilisha Tanzania michuano ya Kimataifa.

KALAHARI CONFERENCE – Pretoria (27 Machi — 5Aprili)
Timu zitakazoshiriki ni:
* Al Ahly Benghazi – Libya
* APR BBC – Rwanda
* Dar City – Tanzania
* Nairobi City Thunder – Kenya
* ⁠petro de luanda
* ⁠johnesubarg giants

Baada ya hapo, mashindano yatahamia Afrika Kaskazini kwa Sahara Conference itakayofanyika mjini Rabat, Morocco kuanzia Aprili 24 hadi Mei 3, 2026.

SAHARA CONFERENCE – Rabat (24 Aprili – 3 Mei)
Timu zitakazoshiriki ni:
Al Ahly – Misri
Ville de Dakar – Senegal
• SKA Kings – Côte d’lvoire Petro de Luanda – Angola.

Kila kundi litatoa timu nne bora kati ya sita kuelekea kwenye playoffs zitakazopigwa Mwezi May katika mji wa kigali Rwanda

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *