#HABARI: Kamanda Mkuu wa M23, Sultani Makenga, amenusurika kuuawa baada ya kuondoka Rubaya dakika chache kabla ya shambulio la droni, ambalo lilimua Msemaji wa kundi hilo Willy Ngoma, pamoja na watu wengine tisa karibu na kitovu cha uzalishaji wa coltan kinachodhibitiwa na M23.

Wachambuzi wanaonya kuwa tukio hilo linaweza kuongeza mvutano katika juhudi za upatanishi zinazoongozwa na Qatar, ambazo tayari zimekuwa zikikumbana na changamoto.

Wakati huohuo, mapigano yanaendelea Masisi kati ya M23, jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na makundi ya wazalendo. M23 inadai kuwa Serikali imeanzisha vita kamili katika Kivu Kaskazini na Kusini.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *