#HABARI: Mbunge wa Rorya Mhe. Jafary Chege amesema kwa sasa fedha za maendelo ya miradi watawaachia watalaamu kuzisimamia badala ya wanasiasa na wakizitumia vibaya watawachukulia hatua kali za kisheria.

Mbunge huyo amesema hayo alipokuwa akikagua miradi mbalimbali ya maendeleo
katika jimbo hilo ambapo amesema hawatamuonea huruma mtendaji ambaye atatumia vibaya fedha hizo kwani atakuwa anarudisha nyuma maendeleo yaliyokusudiwa.

Aidha, mbunge huyo amewaomba wananchi kuwapa nafasi na kuwaamini watendaji wao kwani kama hawatawatumia sasa mambo baadaye yakiharibika itakuwa ni ngumu kuwawajibisha.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *