#HABARI: Msemaji wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo, Gerson Msigwa ametolea ufafanuzi kuhusu Meli ya FMS Eagle iliyokamatwa ikiwa na madawa ya kulevya El Salvador.

Msigwa amekiri kuwa ni kweli meli hiyo imesajiliwa nchini upande wa Zanzibar na kwamba hatua mbalimbali zimeshachukuliwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu meli hiyo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *