#HABARI: Mtu mmoja amefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya magari mawili ya kubeba mizigo kugongana na kutekeketea kwa moto, katika Kijiji cha Kiongozi Kata ya Maisaka wilayani Babati mkoani Manyara.
Inspekta wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Manyara Gilbert Mushi, ameeleza juhudi walizofanya kuzima moto na kuokoa majeruhi na mwili mmoja.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.