Katika miezi ya hivi karibuni, ziara za viongozi wakuu wa kitaifa zimekuwa jukwaa la kusikiliza vilio vya wananchi juu ya migogoro ya ardhi, huduma za jamii, na changamoto za kiutawala.
Picha hii imejidhihirisha wazi wakati wa ziara za Waziri Mkuu zinazoendelea, ambapo mamia hujitokeza wakisubiri kuwasilisha kero zao moja kwa moja.
Swali linaibuka: ni kwa nini wananchi wanaruka ngazi za chini na kusubiri hadi viongozi wa juu wafike katika baadhi ya maeneo yao?
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)