#KUMEKUCHA: Suala la upatikanaji wa bidhaa za afya nchini, linasimamiwa na Wizara ya Afya nchini… MSD yeye ni mdau katika kuhakikisha kwamba huduma za afya bidhaa za afya zinapatikana, kwa sasa hivi tunapozungumza ni wastani wa asilimia 90 na hii inategemeana na ngazi mbalimbali ya vituo”-Bw. HassanAlly -Mkurugenzi wa Ugavi na Uendeshaji kutoka MSD.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.