#MEZAHURU”….ukiangalia wametoka mbali kwa sababu hata kipindi wanaanza mchezo wa wheelchair tennis Pendo kwanza alikuwa na kujiogopa “kocha mchezo huu siwezi” lakini hakuna kitu ambacho hakiwezekani duniani ….na ndio anazungumza kwa mfano hizi wheelchair ukiangalia katika mchezo wa tennis kwa watu wenye ulemavu, wheelchair kidogo tuna changamoto nazo kwa sababu tunazotumia ni kwa ajili ya mafunzo, tunahitaji tupate za kwenda nazo kwenye mashindano….”-Kocha Riziki Salum.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.