#MEZAHURU”….ukiangalia wenzetu wana viwanja vya kudumu, wana wheelchair ambazo ziko vizuri……ukiangalia kwenye bajeti ya Timu ya wheelchair inataka kusafiri yaani inakaa sambamba ili waweze kusafiri….wheelchair tennis ni mchezo mgumu….vitendea kazi vyetu vilikuwa duni tulishikana hivyo hivyo mikono ili tuweze kuifikisha bendera yetu ya Tanzania kwa kiwango kikubwa….” Pendo James – Mchezaji Wheelchair Tennis

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *