Mkazi wa kijiji cha Imalamawazo wilaya ya Chato, amegeuka mkombozi kwa wananchi baada ya kujenga daraja la miti, kutokana na kuchoshwa kuwashuhudia wenzake wakivuka mto kwa kutembea kwenye maji.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *