MSHIKEMSHIKE: Yanga, Simba tayari zimewasili Zanzibar kwa ajili ya ‘Dabi ya Kariakoo’. Timu gani unaipa nafasi kubwa ya kushinda na kwa nini?.
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma kwenye kipindi cha Mshikemshike saa 3:00 usiku LIVE #AzamSports1HD
#Mshikemshike

(Feed generated with FetchRSS)