“….sinaga aibu halafu la pili sio muoga unafikiria kote nilikopita sijawahi kutishiwa, sijawahi kurogwa maana yake wewe hautanitisha hatutavumiliana kuanzia bajeti imepitishwa mpaka inakwenda kupitishwa bajeti nyingine kwenye idara yako haujafanya kitu, tunazo idara mtu hajafanya chochote mwaka mzima na posho/mshahara anakula hatutavumiliana…. “-Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mhe. Paul Christian Makonda.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *