#SportPesaLeague Magoli yote mawili, wakitangulia maafande kwa goli la maajabu kutoka kwa Boniface Muchiri, lakini Homeboyz wakachomoa kupitia kwa super sub, Pistone Mutamba Vunyoli, kwa header mchungulio….
FT: Ulinzi Stars 1-1 Kakamega Homeboyz
#LigiKuuKenya #SportPesaLeague #UlinziStars #KakamegaHomeboyz
(Feed generated with FetchRSS)