Wakazi wa Karema, wilayani Tanganyika na maeneo ya jirani wamejikuta kwenye adha ya usafiri baada ya kukatika kwa daraja la barabara inayoelekea Mpanda, hali inayowalazimu kutumia mtumbwi kuvuka.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi
(Feed generated with FetchRSS)