
DAR ES SALAAM: Droo inaonesha PSG wataanza nyumbani dhidi ya Chelsea katika hatua ya 16 ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Hatua ya mtoano itaanza Machi 10.
–
Chelsea na PSG walikutana kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Vilabu, Chelsea walishinda mabao 3-0. Vurugu, fujo kutishana ilikuwa sehemu ya mchezo huo mara baada ya kumalizika. Haya waache wakauwane tena.
–