#HABARI: Mamlaka ya Ziwa Victoria na Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Maziwa ambayo yanazungukwa na nchi zaidi ya sita Afirika Mashariki na Kati, wamesaini mkataba wa makubaliano utakaolenga kusaidiana katika maswala ya ulinzi na usalama, Biashara na utunzaji wa mazingira, ili kulinda Maziwa hayo ya Ziwa Victoria na Tanganyika.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *