#HABARI: Mawasiliano ya Barabara Kati ya Vijiji vya Karema na Itetemya, Kapalamsenga, na Ikola wilayani Tanganyika mkoani Katavi, yamekatika kufuatia mvua iliyonyesha kusomba daraja linalowaunganisha, hali iliyolazimu wananchi kuvuka kwa kutumia Mitumbwi kwa gharama ya shilingi mia tano.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *