#HABARI: Misa takatifu ya kuuaga mwili wa Kardinal Pengo Kanisa Kuu la Mt. Yosefu Dar es Salaam.
Polycarp Kardinali Pengo alizaliwa Agosti 5, 1944 na alipadrishwa mwaka 1971.
Alisomea Thiolojia ya Maadili mjini Roma katika Chuo Kikuu cha Pontifical Lateran, ambako alipata shahada ya uzamivu (udaktari) mwaka 1977.
Pengo alitangazwa kuwa Kardinali na Papa John Paul II katika mkutano wa markadinali (consistory) wa tarehe 21 Februari 1998.