#HABARI: Mvua zilizonyesha majira ya jioni katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro, zimesababisha maji kufunika barabara katika eneo la Melela Kololo, kwenye barabara Kuu ya Morogoro – Iringa.

Hali hiyo imesababisha wananchi na magari kushindwa kuvuka kutoka upande mmoja kwenda mwingine kwa muda, kupisha maji yaliyokuwa yamejaa barabarani.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *