#HABARI: Mwili wa marehemu Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo aliyefariki dunia Februari 19, 2026, katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), tayari umewasili katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu kwa ajili ya misa na waumini kutoa heshima za mwisho leo Februari 27, 2026. ‎

Mwili wa Kardinali Pengo unatarajiwa kuzikwa ndani ya Kanisa la Hija ya Bikira Maria, Pugu kesho Februari 28, 2026 na misa ya mazishi itaanza saa 4:00 asubuhi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *