#HABARI: Wananchi ambao ni waathirika wa mafuriko, akiwemo Diwani wa Kata ya Sungaji Mji wa Turiani Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamepaza sauti kuiomba serikali iwatatutile changamoto ya kila msimu wa mvua mafuriko kuathiri makazi yao, chakula pamoja na shughuli za kiuchumi.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *