#MICHEZO: Kuelekea dabi ya Simba na Yanga iltakayocheza Katika Uwanja wa New Amaan Zanzibar Machi mosi, Bodi ya Ligi imeweka wazi Waamuzi watakaochezesha mechi hiyo wakiongozwa na Mwamuzi wa kati Nassoro Mwinchui.
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.